Klopp Amuonya Salah.


Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amezungumza na mshambuliaji wa klabu hiyo Mohamed Salah kuhusu miendendo yake baada ya kupatikana na virusi vya corona mara mbili aliporejea kutoka shughuli ya kimataifa nchini Misri.

Kiungo huyo mwenye miaka 28-aliripotiwa kuonekana katika harusi ya ndugu yake.

Salah, ambaye kwa sasa amejitenga, atakosa meshi ya Leo dhidi ya Leicester City na pia huenda akakosa mechi ya Champions League dhidi ya Atalanta.

 

Klopp amesema Salah alirejea siku ya Ijumaa na kuongeza kuwa uhusiano wake na mchezaji huyo ni “mzuri”.

Mjerumani huyo ameongeza kuwa: “Yuko hali nzuri na anaendelea kupata nafuu.”

Salah amefunga mabao 10 katika mechi 13 ya mashindano yote msimu huu.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

30 Komentara

    Pole yake coronavirus sio poa

    Jibu

    pole yake

    Jibu

    Hivi caribuni tunategemea utapona na utarudi kambini

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Salah afate utaratibu za kiafya ili asipate tena maambukizi ya covid19

    Jibu

    Pole san kipenzi

    Jibu

    Pole.

    Jibu

    Pole Sana kwake

    Jibu

    Pole Sana Jembe langu Salah

    Jibu

    Nakutakia afya njema urudi mchezoni

    Jibu

    Salah inabidi awe makini.corona Mara mbili dah.alipopatikana na corona Mara ya kwanza ilibidi awe makini asiambukizwe tena.all in all pole Sana Salah

    Jibu

    Pole

    Jibu

    Pole Salah corona sio kitu kizur

    Jibu

    Salah tulia sasa hv hali sio nzur huko kwenu

    Jibu

    Pole

    Jibu

    Mahusiano mazuri kati ya kocha na mchezaji ni jambo muhimu linaloimarisha uwezo wa kujiamini kwa mchezaji na timu kwa ujumla. Nadhani Mo Salah anatafanya makubwa EPL msimu huu

    Jibu

    Polee sana

    Jibu

    Inshaallah atapona

    Jibu

    Pole sana salah utakaa sawa tuu

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Duuh pole

    Jibu

    Mo salah get well soon

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    salah afate masharti ya kujikinga na corona sababu timu inamtegemea sana

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Mo Salah inabid na akubaliane kufuata taratibu na kanuni za afya za covid 19, ma’am huu ugonjwa sio poa.

    Jibu

    Corona imedunda tu Tanzania

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.