Lampard Amtumia Salamu Ross Barkley.


Kocha wa Chelsea Frank Lampard amemwambia kiungo wake Ross Barkley anaecheza kwa mkopo katika klabu ya Aston Villa kua yupo katika mipango yake ya baadae.

Lampard amenukuliwa akisema” Barkley ni mchezaji mzuri mwenye kipaji kikubwa na yupo kwenye mipango ya klabu yetu kwa siku zijazo,”

 

“Jambo la kufurahisha kwake ni kua anacheza vizuri katika club yake mpya na tunafurahia Jambo hilo, hivyo naamini akirejea Chelsea atakua bora kuliko alivyokua awali’. alisema

Barkley alipata maumivu katika nyama za paja katika mchezo wa jana dhidi ya Brighton na kutolewa dakika ya 5 ya mchezo. Villa iliambulia kipigo cha goli 2-1 nyumbani.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

29 Komentara

    Ross Barkley. Njoo Chelsea jamani

    Jibu

    karibu chelsea

    Jibu

    Karibu chama la wana

    Jibu

    Itakuwa vizur akija chelsea Burkley ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Karibu chalsea

    Jibu

    Welcome

    Jibu

    Mashabiki wa Chelsea tunakuhitaji.

    Jibu

    Usiiache Chelsea bado tunakuhitaji

    Jibu

    Chelsea Kila mchezaji Wana mtaka wao

    Jibu

    Vizuri Sana kalibu kwenye chama lawana

    Jibu

    Barkley ni mchezaji mzuri na mwenye kipaji kikubwa

    Jibu

    Karibu kundini

    Jibu

    Imekaa njema hii

    Jibu

    Naona Lampard anabaini kosa la kumpeleka kwa mkopo na alikuwa anamchezesha namba tofauti na sasa anafanya vizuri mno

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Karibu sana chelsea

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Unapenda sana

    Jibu

    Barkley mchezo mzuri sema Hana bahati na timu kubwa huwa akienda mara nyng hutolewa kwa mkopo na mwisho uamuwah kucheza timu ndogo tu

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    kijana kipaji chake ni kikubwa aende tu katika club nyingine

    Jibu

    Karibu Chelsea

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Ross barkley ni kiungo safi

    Jibu

    Amemtoa huku bado anamkubali

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.