Na mechi nyingine ya jioni kabisa ni hii ya Azam FC vs KMC mchezo ambao utachezwa majira ya saa 1:00 usiku katika dimba la Azam Complex.
KMC mpaka sasa chini ya kocha mkuu Kali Ongala wapo nafasi ya 10 kwenye michezo 16 ambayo wamecheza mpaka sasa wakiwa wameshinda mechi zao 5 wakienda sare mara 4 na kupoteza michezo 7 hadi sasa, huku kwa upande wa wenyeji wao hadi sasa wapo nafasi ya 3, wakiwa wameshinda mechi zao 11, sare 3 na kupoteza mara 2 pekee.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili KMC alikuwa nyumbani ambapo alipoteza kwa mabao mengi kwelikweli hivyo leo hii anahitaji kulipa kisasi akiwa ugenini.
Meridianbet wamempa Azam FC nafasi kubwa ya kushinda leo kwa ODDS 1.26 kwa 9.40 huku mechi hii ikiwa na machaguo mengi ambayo yatakufanya wewe ujipigie mshindo wa maana.
Kila timu inahitaji ushindi leo hii ambapo KMC akishinda leo atasogea hadi nafasi ya 7 kutoka ya 10, huku Azam yeye atabaki nafasi hiyo hiyo leo hata akishinda.
Je bashiri yako unaiweka wapi kwenye hii mechi hapa?. Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na usuke jamvi lako la ushindi sasa hapa hapa.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.