Beki wa klabu ya Manchester City Kylie Walker huenda akasaini mkataba mpya na klabu hiyo na kuweza kusalia kwenye timu hiyo kwa muda mrefu zaidi.

Kylie Walker ambaye alikua kwenye hatari ya kutimka ndani ya klabu hiyo ambapo mkataba wake unaelekea ukingoni,Huku klabu ya Bayern Munich kutoka nchini Ujerumani ikihitaji saini ya beki huyo wa kimataifa wa Uingereza.kylie walkerBayern Munich walielezwa kua mbioni kumsajili beki huyo wiki kadhaa nyuma huku na yeye akionesha mia ya kutimka klabuni hapo, lakini beki huyo amepokea ofa ya mkataba mpya kutoka kwa klabu hiyo.

Matumaini ya kumbakiza mchezaji ndani ya klabu hiyo ni makubwa kwa Man City kwani wanaamini ofa yao inaweza kumshawishi mchezaji huyo kusalia ndani ya klabu hiyo.kylie walkerBeki Kylie Walker amekua kwenye kiwango bora kwa muda mrefu ndani ya klabu japo msimu uliomalzika alikua anaandamwa na majeraha, Lakini haijakua sababu ya Man City kukubali kumuachia beki juyu kutimka klabuni hapo.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa