Klabu ya Leicester City imekamilisha usajili wa mtoto wa mlinzi wa zamani wa Arsenal na Liverpool Kolo Toure, Yassine kwa mkataba wa miaka miwili.

 

leicester, Leicester Yakamilisha Usajili wa Mtoto wa Kolo Toure., Meridianbet

Yassine ambaye tofauti na baba yake yeye anacheza kama winga wa kulia na atakuwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha U18 cha Leicester.

Kinda huyo aliyezaliwa wakati Kolo akiichezea Arsenal ana uraia wa Uingereza na Ivory Coast na ana kibali cha kuchagua kuchezea Taifa mojawapo.

Yassine anajiunga na Leicester kutoka Celtic akiwa chini ya miaka 14 baada ya baba yake kujiunga na City kama sehemu ya wakufunzi wa Brendan Rodgers.

Hiyo ina maana kwamba Yassine atachezea vijana wa chini ya miaka 18 wa Leicester City hadi mwisho wa msimu wa 2023-24.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa