Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Manchester United na Ureno Cristiano Ronaldo, 37, anavivutia vilabu vya Paris St-Germain, Bayern Munich na Roma wakati huu akitafakari kuondoka Old Trafford msimu huu.

Manchester City imetenga ofa ya £5.5m kwa ajili ya winga wa Atletico Mineiro, Savio. Kinda huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 17, anasakwa pia na Arsenal.

Aston Villa ilo tayari kutumia £50m kununua kiungo huku viungo walioko kwenye orodha ya juu kusakwa ni kiungo wa kimataifa wa Nigeria na Leicester Wilfred Ndidi, 25, na kiungo wa Brighton na Mali Yves Bissouma, 25.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

West Ham wanapanga kuzungumza na kiungo Jarrod Bowen, 25, mwishoni mwa msimu kuhusu mkataba mpya ili kuzuia kusajiliwa na Liverpool wanaomsaka.

Tetesi zinasema, Bayern Munich na Borussia Dortmund ni vilabu vya hivi karibuni vinavyomfuatilia are mshambuliaji wa Chelsea na Albania Armando Broja, 20, ambaye anacheza kwa mkopo Southampton.

Tetesi zinasema, Chelsea imejikita kumsajili mlinzi wa Ufaransa Jules Kounde, 23, kutoka Sevilla baada ya kutaarifiwa kuwa Paris St-Germain haitamuuza beki wake wa kati Marquinhos, 27.

Kiungo wa Leicester Mbelgiji Youri Tielemans, 24, ametakiwa kukataa kuhamia vilabu vya Liverpool na Manchester United ili kujiunga na Chelsea, kwa mujibu wa kiungo wa zamani wa United na Brazil Kleberson.

 

Tielemans Hana Mapango wa Kuendelea Kusalia Leicester

Tetesi zinasema, Liverpool iko kwenye mazungumzo na kiungo wa zamani wa England James Milner, 36, kuhusu kumuongezea mkataba wa mwaka 1.

Mlinzi wa zamani wa West Ham na Chelsea Glen Johnson anasema the Blues wanapaswa kumsajili nyota wa England Declan Rice, 23, kutoka West Ham kuziba nafasi ya kiungo wa kimataifa wa Italia Jorginho,30.

Tetesi zinasema, Pep Guardiola anafikiria kumpa nafasi kiungo wa Brazil midfielder Fernandinho, 36, kuwa sehemu ya benchi la ufundi la Manchester City msimu ujao.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa