Man City Ugenini Leo Dhidi ya Spurs

Ligi kuu ya Uingereza EPL inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambao ni kati ya wenyeji Tottenham Hot Spurs dhidi ya Manchester City ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi.

Man City Ugenini Leo Dhidi ya Spurs

Hii ni moja kati ya mechi kali sana ambazo leo hii itaenda kushuhudiwa ambapo Pep Guardiola anahitaji ushindi wa hali na mali ili kutetea taji lake huku kwa upande wa Ange na vijana wake nao wanahitaji ushindi kujiweka kwenye nafasi ya kucheza ligi ya mabingwa.

City imekuwa ikihangaika sana kupata ushindi ikiwa inacheza dhidi ya Spurs ugenini ambapo takribani miaka sita imekuwa ngumu kwake kupata matokeo, kitu ambacho wamekuwa wakipambana nacho.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Man City Ugenini Leo Dhidi ya Spurs

Sasa kuelekea mwisho wa msimu timu hiyo kutoka jiji la Manchster City imebakiza mechi mbili pekee kuchukua taji lake ambapo kwenye msimamo wa ligi wapo nafasi ya pili wakiwa tofauti pointi 1 pekee na kinara wa ligi ambapo wao watakuwa na mchezo mmoja.

Spurs imekuwa haina mwendelezo mzuri kwenye ligi baada ya kupoteza mechi 4 kwenye mechi tano za mwisho ambapo leo hii meridianbet wamempendelea Pep na vijana wake kuondoka na ushindi kwa ODDS ya 1.40 kwa 7.05.

Na mara ya mwisho timu hizi kukutana, walitoka sare. Je leo hii nani ni nani?. Nani kuondoka na pointi zote tatu?.Beti hapa.

Acha ujumbe