Manchester City Watoa Taarifa ya Fedha ya Mwaka 2020/21

Klabu ya Manchester City leo wametoa taarifa ya fedha kwa mwaka 2021-21 huku wakitangaza kupata faida na kundeleza kuwa imara kwa muda mrefu japo kulikuwa na mlipuko wa Uviko-19 lakini haikuweza kuwahasiri.

Man City wameshuhudia kuongezeka kwa mapato ya jumla kwa asilimia 19 huku wakiweza kuweka kibindoni £569.8 million na kupata faida ya  2.4 million, ilikuwa mwaka wa mafanikio kwa city waliweza kuchukua ubingwa wa Uingereza, Carabao Cup na kushika nafasi ya pili kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kwa mara ya kwanza.

Manchester City
Manchester City

Kwenye  taarifa, mwenyekiti Khaldoon Al Mubarak alichukua nafasi ya sio tu kulinganisha mafanikio ya msimu huu tu bali kuangalia siku zijazo alinukuliwa  “kufanikiwa kwa timu ya wanaume mwaka huu, ubingwa huu unawakilisha taji la tano la ligi ya Uingereza na kombe la ligi sita ndani ya miaka kumi ilyopita kwenye historia ya klabu.”

Khaldoon Al Mubarak aligusia kuhusu uwezo wa Manchester City kuweza kukabiliana na matatizo kama taaasisi  kwa upana umoja kwenye mtazamo wa kibiashara, waliweza kurejesha faida na kufanikwa kutengeza mapato ya juu lichwa mlipuko wa uviko-19.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.