Klabu ya Simba SC itashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba kuvaana na klabu ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara majira ya saa 10 jioni.

Simba SC inaingia katika mchezo wa leo wakiwa ugenini, wakiwa na kumbukumbu ya kutoka sare mchezo uliopita dhidi ya Azam FC wakati Geita Gold wakiibuka na alama 3 dhidi ya Mbeya Kwanza.

 

simba sc, Matchday : Geita Gold vs Simba SC., Meridianbet

Kocha wa Simba SC, Pablo Franco ameweka wazi kuwa mchezo utakuwa mgumu huku akikubali uwezo wa Geita kutokana na kiwango wanachoonyesha kwa sasa.

“Tunajua mchezo utakuwa mgumu, Geita inacheza kitimu pia ina wachezaji wazuri mmoja mmoja, walitupa upinzani mkubwa katika mchezo wa mzunguko wa kwanza uwanja wa Benjamin Mkapa.

“Bado hatujakata tamaa na ubingwa ingawa tuna nafasi finyu lakini lengo letu ni kuhakikisha tunapata alama tatu katika kila mchezo kwa ajili ya heshima ya klabu na mashabiki,” aliongeza Pablo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa