Nyota wa klabu ya Paris Saint Germain na mshindi wa kombe la Dunia Kylian Mbappe ambaye alitengeneza vichwa vya habari kutokana na sintofahamu ya uhamisho wake wa wapi anakwenda kucheza kwa msimu ujao.

Takribani mwezi sasa Kylian Mbappe alikuwa anahusishwa na kuhamia kwa mabingwa wa nchini Hispania kwenye klabu ya Real Madrid kwa uhamisho huru kwenye majira ya kiangazi msimu huu.

Kylian Mbappe

Lakini kabla ya siku ya jana kutoka taarifa ya kuwa nyota huyo kukubali kusalia kwenye klabu ya PSG, Mbappe alishamtumia message raisi wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez na kumtaarifu kuwa ameamua kusalia kwenye klabu ya PSG kupitia mtandao wa WhatsApp.

“Mr Florentino, nakutaarifu kwamba nimeamua kubaki PSG. Nataka kukushukuru kwa kunipa nafasi ya kucheza kwenye klabu ya Real Madrid, klabu ambayo nilikuwa mshabiki wake tokea nikiwa mdogo. 

“Natumai umeelewa maamuzi yangu  na nakutakia kila la kheri kwenye mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.”

Fair play, Kylian


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa