Baada ya sekeseke la muda mrefu, hatimaye mashabiki wa PSG wanapata sababu ya kutembea kifua mbele. Kylian Mbappe is here to stay!

Sakata la hatma ya Mbappe liliteka vichwa vya habari ulimwenguni huku vilabu kadhaa vikitajwa kuiwania sahihi yake. Anamaliza mkataba wake wa awali na PSG mwishoni mwa msimu huu na, anaingia kwenye orodha ya wachezaji huru.

Mbappe, Mbappe Kusalia PSG. Game Over!, Meridianbet
Raisi wa Real Madrid – Florentino Perez.

Real Madrid na PSG wamepigana vikumbo kwenye ofa zao kwa Kylian na, mpaka dakika za mwisho ilikua ni suala la mchezaji mwenyewe kuamua timu ipi akubali ofa yake. Hatimaye, PSG wamefanikiwa kumbakiza Mbappe Paris na atakuepo hapo kwa misimu 2 ijayo.

Inaripotiwa kuwa, haya ni maamuzi binafsi ya Kylian mwenyewe na, ameshamtaarifu raisi wa Real Madrid, Florentino Perez kuhusu uamuzi wake.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa