Tetesi zinasema, Mshambuliaji mfaransa Kylian Mbappe, 23, alimtaarifu rais wa Real Madrid Florentino Perez kuhusu uamuzi wake wa kubaki Paris St-Germain kwa kwa njia ya meseji.

Tetesi zinasema, Ofa ya Arsenal ya £76m kwa ajili kumsajili mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen, 23, imekataliwa na Napoli.

Newcastle, West Ham na Southampton zinamuwania Armando Broja wa Chelsea. Mualbania huyo mwenye miaka 20 anasakwa pia na vilabu vya Italia vya AC Milan, Inter Milan na Napoli.

 

Broja Ageuka Lulu kwa Vilabu vya EPL na Serie A

Kocha wa Barcelona Xavi amethibitisha kwamba wako kwenye mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich na Poland Robert Lewandowski,33.

Liverpool watamuongezea mkataba Sadio Mane, 30 lakini hawana mpango wa kumuongezea mshahara mnono zaidi mshambuliaji huyo wa Senegal ambaye amesalia na mwaka mmoja kwenye mkataba wake wa sasa.

Tetesi zinasema, Fulham iliyopanda daraja msimu huu inataka kuzungumza na kiungo wa Serbia midfielder Nemanja Matic, 33, ili kumbakisha ligi kuu England baada ya kumalizana na Manchester United mwishoni mwa msimu.

Meneja wa Real Madrid Carlo Ancelotti anasema kiungo wa zamani wa Hispania Isco, 30, aaondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu mkataba wake utakapomalizika.

Tetesi zinasema, West Ham wanamtaka mshambuliaji wa Nigeria Emmanuel Dennis, 24 ambaye timu yake ya Watford imeshuka daraja.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Inter Milan inamtaka winga wa Croatia Ivan Perisic, 33, kusaini mkataba mpya huku kukiwa na ripoti ya kusakwa na vilabu vya Tottenham, Chelsea na Juventus.

Tetesi zinasema, Mlinzi wa kati Giorgio Chiellini yuko kwenye mazungumzo na Los Angeles FC ili kujiunga na klabu hiyo ya ligi kuu Marekani (MLS) bure akimaliza mkataba wake Juventus mwishoni mwa msimu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa