Lionel Messi alimwambia mwalimu wake wa zamani, kocha wa Manchester City Pep Guardiola, wiki iliyopita kuwa alinuia kuondoka Barcelona, kwa mujibu wa toleo la Ijumaa la gazeti la Uingereza la The Times.
Guardiola, ambaye alikuwa bosi wa Messi kwa miaka minne Camp Nou, alimwambia mchezaji huyo kuwa atazungumza na wamiliki wa City kuhusu uwezekano wa kumsaini, imesema ripoti hiyo.

Tovuti za Goal na Spox ziliripoti Alhamis kuwa mawasiliano ya simu yalifanyika kati ya Messi na Guardiola. The Times imesema hii ni ishara zaidi kuwa City wapo katika nafasi ya kwanza kumsaini mchezaji huyo anayetafutwa sana mwenye umri wa miaka 33.
Afisa Mkuu Mtendaji wa City Ferran Soriano tayari yuko Catalonia, ambako anatarajia kuzungumza na baba wa Messi, Jorge, katika wiki ijayo, imesema ripoti hiyo.
Lionel alicheza chini ya Guardiola kuanzia 2008 hadi 2012. Wawili hao walishinda pamoja Makombe mawili ya Ligi ya Mabingwa, miongoni mwa mataji mengine mengi.

Messi amewasilisha nakala kwa Barcelona akieleza kuwa anataka kuondoka klabu hiyo kwa uhamisho huru, lakini Barca hawaamini anaweza kukitumia kipengee cha mkataba wake ambacho kilimruhusu kufanya hivyo kabla ya Juni 10.
Imeripotiwa pia mapema Leo, Lionel ameomba kufanya mazungumzo na bodi na viongozi wa Barcelona kuhusu mustakabali wake wa kuondoka katika klabu hiyo lakini Viongozi wamekataa kikao hicho.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


lombo
aende tu hana jipya kashazeeka
aisha
Kuna uwezekano mkubwa wa messi kutua mancity kwa sababu pep guardiola anaweza kuwa nguvu kubwa ya kuinasa kandarasi ya messi.
Furahav
Messi ameshakwisha huyo aende tu.
Sadick
Kwa jinsi mkataba wake ulivyo na uwezo wa klabu Messi hawezi kuondoka Barcelona msimu huu#meridianbettz
Issa
Kwa round hii mess kubaki nou camp sidhani
Genia Sikaluzwe
Duuuuh hatari
Hope mwaikuka
Jamaa anataka Ashinde tu kafungwa anahaha
Shafii
Pep inaweza ikawa sababu kibwa ya messi kutua mancity.
Rose kapinga
Messi fundiiii
Amiri Kayera
Mess team imemchoshwa aclache aondoke
Faraja molell
Karbu sana EPL messi
Ester jackson
Daaah hata sielewi mana kila leo inakuja mpya Mara messi amekanusha kwenda man city sasa anataka kuongea na man city asajiliwe mm nasubiri kuona anakuwepo wapi tu
Njiku
Hayo maneno tu hata kwenye kanga yapo Messi hawezi toka barca amini nawaambia tutaona kama atatoka na hi mitandao sio poa mara Messi anaenda man city mara haendi kakanusha dah kama magazeti za kibongo
Latifa juma mohamed
Maisha popote aende tu.
Frank P
Live as legend asiondoke kwa namna hvyo
neema hassan
Messi fundi wa mpira duniani
Devotha
Aende tu hakuzaliwa na Barcelona
Mwajumah
Acha tu Messi haende zake#Meridianbettz
rama
kwel messi anaitaji kuondoka barcelona itakuwa vizuri sana abidilishe upepo
Dorophina
Watu tunasubilia kauli yake yy mwenyewe ndio tutajua Messi ataenda chama lipi maana tetesi zimekuwa nyingi sana mara ya kwanza walisema Messi haendi man city saiz tena anataka kwenda huko tunasubilia yeye mwenyewe tamko lako
Tatu
Man city awawezi kumnunua mess hzo ni njama za mwalimu wake wa zamani guardialo kuondoka barcelona
felister
🤣🤣🤣lakini naogopa
Fatina mfingi
Messi fundi
Caroline
Kumbe Messi alikua na mpango wa kuondoka muda mrefu…
Ernest
Messi anajaribu kuandaa mazingira ya kuacha soka lakini jina lake lichukue muda mrefu kusaulika kwenye ulimwengu wa soka hivyo ni vigumu kwa yeye kusalia Barcelona.
Mwanahamisi
Messi mwamba
Fatuma kasomo
Kila la heri
Lydia Emmanuel Magoti
Messi jembe yeye ndio mwenye uwamuzi chochote kile atakacho kiongea yeye
Nasra
Kila la kheri
farida ahmadi
Messi huna maamuzi yako
Sabrina
Mwacheni tu Messi aame timu barca wamemtumia vyakutosha
Samiah
Messi jembe
Saupha mohamed
Messi jembe
Janeflora malisa
Aende t
Zeiyana
Kwa staili messi me naona kama hanapoteza jina lake tu ukiangalia pale barca tayari halishakua mfalme ni miaka mingi amekua akihitumikia clabu hiyo
Sauda
Mwacheni Messi abadilishe upepo
warda
Messi hata haeleweki kuondoka anataka kubaki anataka
magdalena
kama kuna uwezekano messi atue tu mancity
Johnmary joel
Kama kaamua muacheni abadilishe mazingira#meridisnbett
David Pere
Hayo maneno tu hata kwenye kanga yapo Messi hawezi toka barca amini nawaambia tutaona kama atatoka na hi mitandao sio poa mara Messi anaenda man city mara haendi kakanusha dah kama magazeti za kibongo
Gabriel
Mess team imemchosha wacha aondoke