Ripoti zinasema kuwa Antoine Griezmann alikuwa tayari ameshaamua kuondoka klabuni Barcelona kabla ya kichapo cha aibu kutoka kwa Bayern Munich kwenye Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Kwa maana hii, Antoine Giezmann alikuwa na mpango wa kusepa kabla ya kufanya mazungumzo na meneja wa sasa Ronald Koeman.
Griezmann amekuwa na msimu wa namna yake tangia alipoingia akitokea Atletico Madrid kwa £108m msimu wa joto uliopita. Ameweza kupata magoli 15 katika mechi zake 48 alizocheza, katika mechi hizo ni mechi 19 pekee alizocheza kipindi cha dakika 90.
Hata hivyo, wakala wa zamani wa staa huyu Eric Olhats, anasema kuwa licha ya Griezmann kuwa na mpango wa kuondoka, kwa sasa ana furaha kusalia klabuni hapo, huku Koeman akimuahidi kuwa atajenga kikosi chake bora na yeye akiwemo ikiwa Messi anaondoka klabuni hapo.
Olhats Juu ya Antoine Giezmann
“Kabla ya janga dhidi ya Bayern, Antoine alikuwa anataka kitu kimoja tu, kuondoka,” Olhats aliiambia RMC Sport.
“Alijihisi kama hakuwa sehemu ya mpango wa timu tena na mambo yasingeweza kuendelea hivyo.”
“Alikuwa anatazamia sana kuondoka. Baadaye, tunajua kilichotokea katika mazungumzo na Koeman aimuahidi kuwa yeye ni sehemu ya mpango wake, na anamchukulia kama mchezaji muhimuk wa siku zijazo”
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Amiri Kayera
Amekua na msimu mbovu Sana Ila avumilie team itakaa saw for next season
Rose kapinga
Maneno tu hayo,aibu inamkimbiza maana walipigwa kichapo cha mbwa mwizi!!!
Issa
Aliamua vizur alijua mziki wa bayern
Hope mwaikuka
Bora yake yy
Ester jackson
Anauwezo wa kutosha kabisa kama atashirikiana na kocha wake basis wanaweza kufanya mabadiliko katika timu ya Barcelona na kwa matokeo ya Bayern hakumfanyi mchezaji akaikataa timu yake ila atapata tu maumivu ya kupata suluhisho
Shafii
Pongezi kwa mwalimu koeman kwa kuweza kumshawishi grezeman kubaki camp nou.
Njiku
Aibu aisee sio kama dharau goli nyingi sanaa
Frank P
hawezi ondoka yeye na coutinho
neema hassan
Asante kwa taarifa
Devotha
Aliamua vizuri maana kichapo kile hakikua cha kitoto
Mwajumah
Hawezi ondoka yeye na countinho#Meridianbettz
Dorophina
Hawezi kuondoka Barca kwa msimu huu griezmann la msimu ujao mbona wachezaji wanataka kuisaliti timu kisa kwa sababu ya kichapo cha mbwa koko
Sadick
Antoine Griezmann amepwaya sio yule wa Atletico Madrid nadhani kwasababu anacheza nafasi ambayo hakuwa anacheza awali#meridianbettz
felister
Bora ameamua ivy kuondoka kakimbia aibu
Caroline
Griezman ana mchango mkubwa Sana Barcelona
Ernest
Griezmann akae akijuwa kuwa pressure kutoka kwa mashabiki wa Barca bado ipo pale pale sasa ni wakati wake kudhihirisha kuwa yeye ni moto wa kuotea mbali kwa kuwapa wapenzi wa Barca kile ambacho waliamini angeweza kukifanya wakati wa kusajiliwa kwake.
Mwanahamisi
Bora alivyoamua maana alijua mziki wa bayern
Fatuma kasomo
Gud news
Agness
Aliona aibu kwa kichapo Cha maana angevumilia tuu ajipange upya
Rehema
Hii makala imetulia
Nasra
Afadhali yake
aisha
Hawezi kuondoka kwani kila jambo zuli huanza na ubaya
Furahav
Noma sana.
JULIANA
Asante kwataharifa
Saupha mohamed
Taarifa njema
Sabrina
Haa haa usiwakumbushe bhana zimewavuluga barca zile
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Zeiyana
Amekua na msimu mbovu sana griezimann hata ukiangalia pale barcelona bado kunauitaji mkubwa sana ili kuimarisha kikosi chao
Sauda
Ni bora
warda
Griezmann anaipenda sana Barc na huwa hapendi kuondoka
magdalena
kuondoka barca uyo jamaa ni ngumu sana labda asubiri msimu ujao uishe
Johnmary joel
Uwezikupata mazuri tuu bila ya mabaya haiwezekan ila unapopata tatizo ndiyo vizuri ili kujifunza makosa yasijirudie tena hivyo akae ajipange vizuri na timu yake na viongozi wake ili barc isirudi nyuma tena#meridianbett
Khadija
kuondoka barcelon ngumu sana huyo jamaa
David Pere
Pongezi kwa mwalimu koeman kwa kuweza kumshawishi grezeman kubaki camp nou.
Gabriel
kutoka kwa mashabiki wa Barca bado ipo pale pale sasa ni wakati wake kudhihirisha kuwa yeye ni moto wa kuotea mbali kwa kuwapa wapenzi wa Barca kile ambacho waliamini angeweza kukifanya wakati wa kusajiliwa kwake.