Washika bunduki wa London – Arsenal wameanza msimu vizuri baada ya kuwalaza Majogoo wa Uingereza – Liverpool kwa mikaju ya penati.
Mchezo wa Ngao ya Jamii kama ilivyodesturi ya EPL , unafungua pazia la msimu mpya wa EPL. Mchezo huu huwakutanisha Mabingwa wa EPL na FA wa msimu uliokwisha.
Aubameyang awaongoza Arsenal kwenye Mchezo wa Ngao ya Jamii.
Nahodha wa ‘The Gunners’ – Pierre- Emerick Aubameyang, alikuwa wa kwanza kupachika bao katika kipindi cha kwanza kabla ya Takumi Minamino kusawazisha goli hilo kipindi cha pili.

Baada ya mchezo kuwa na matokeo ya 1-1 mpaka dakika ya 90, mikwaju ya penati ilitumika kumpata mshindi wa mchezo huu.
Baada ya kinda wa Liverpool – Brewster kukosa penati na matokeo kuwa 4-4, ni Aubameyang kwa mara nyingine alikabidhiwa jukumu la kupiga penati ya mwisho na hakufanya makosa. Arsenal wameshinda kwa penati 5-4.
Hii ni mara ya pili mfululizo kwa Liverpool kukosa upingwa wa Ngao ya Jamii kwa mikwaju ya penati, msimu uliopita alipoteza mchezo wake dhidi ya Manchester City.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Njiku
Arsenal sio poa ya moto kinoma nomaa wachaa waidharau tu na inawahaibisha
Latifa juma mohamed
Arsenal the gunner wako Moto Sana , hakika ngao ya jamii hongeren Sana.
Frank P
Pongezi kwao
neema hassan
Asante kwa makala#meridianbettz
Devotha
Hongera sana arsenal! Arteta ametuonesha ubora wa kikosi chake kwa msimu mpya
Ester Jackson
Arsenal sio mchezo kabisa mana watu walikuwa wanajua kuwa anashindwa kutokana na wapizani wao kikosi chao kilivyo imara safii sana arsenal
Mwajumah
Hongera sana arsenal#Meridianbettz
Zeiyana
Waenga wanasema nyota njema huwonekana asubui big up sana chama kubwa arsenal
rama
hongera sana arsenal kwa kuanza msimu vizurii
Dorophina
Hongera arsenal mmejua kuwaonyesha liver kwamba nyie sio wa mchezo msimu unaanza vizuri naamini kikosi kimekamilika
Tatu
Arsenal naona wamekuja kwa kasi hongera yao
felister
naona arsenal wameanza msimu vizuri
Ernest
Mwanzo mzuri kwa Arsenal lakini bado kuna Usajili Arteta anatakiwa kufanya ili kuboresha kikosi chake
Fatina mfingi
Pongezi kwenu!!
Caroline
Arsenal mmeanza vizuri..
Fatuma kasomo
Arsenal mmeanza na bwebwe
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi nyingi kwao Arsenal Jana walifanya kaz Nzuri sana kwamikwaju walio ipiga ilikuwa shangwe kwao
Sadick
Kitendo cha Arsenal kushinda dhidi ya bingwa mtetezi kinawapa morali wa kufanya vizuri msimu ujao, Hongera the Gunners#meridianbettz
Agness
Hongera sana arsenal kwa ushindi wa kishindo
Nasra
Hongera Arsenal
aisha
Pongezi kwa Arsenal
Amiri Kayera
Wameuanza msim vzur
Rehema
Hongera arsenal
farida ahmadi
Hongera Sana Arsenal
Rose kapinga
Kazi nzuri arsenal
Hope mwaikuka
Congratulations Arsenal
Furahav
Hii Arsenal inatia wasi wasi.
Sabrina
Hongera sana Arsenal mnakinukishaaaa
Amani
Safi Sana washika bunduki
Samiah
Safi Arsenal
Asia Abdy
Hongeren Arsenal
Janeflora malisa
Safi sana
Sauda
Arsenal wapo juu
warda
Nimependa sana hii
Johnmary joel
Hongereni sana arsenal kazeni buti zaid#meridianbett
magdalena
arseanal kazi kubwa wameifanya mpaka kuhakikisha wanawaangusha mabingwa wa EPL wanastahili pongezi nyingi sana
Tahiya
Ngao siyo ishu tunatak ubingwa wa EPL
aisha
Arteta ndoo ya kwanza msimu huu ni utakua safi kwake
Khadija
pongezi kwao
Shafii
Walistahili pongezi kwao.
David Pere
Mwanzo mzuri kwa Arsenal lakini bado kuna Usajili Arteta anatakiwa kufanya ili kuboresha kikosi chake
Gabriel
nyota njema huwonekana asubui big up sana chama kubwa arsenal