Mshambuliaji wa Klabu ya PSG na Argentina, Lionel Messi jana amevunja rekodi ya kuwa mchezaji wa taifa hilo wa kwanza kufunga magoli 80 katika michezo ya kimataifa.

Argentina walicheza kwenye uwanja wa nyumbani dhidi ya Uruguay katika mchezo wa kufuzu kucheza kombe la dunia na kushinda 3-0 wakati Messi akifunga goli la kwanza.
“Nafikiri tunakuwa bora sana katika ngazi za mpira wetu, sasa tunauwezo wakumiliki mpira.
“Usiku wa leo mchezo ulikuwa mgumu lakini ilibidi tushinde. Na tumefanya hivyo kwa usahihi.” alisema Messi.
Mchezo unaofwata Argentina atavaana na Peru wakati Uruguay wakisafiri kuwafwata Brazil ambao ni vinara wa kundi hilo wakiwa na alama 28 mpaka sasa.
Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

CHEZA HAPA

