Rasmi: Moussa Dembele Ajiunga na Atletico Madrid


 

Atletico Madrid imetangaza rasmi usajili wa Moussa Dembele kwa mkopo kutoka Lyon hadi mwisho wa kampeni za msimu wa 2020/21.

Mfaransa huyo anajiunga na Los Rojiblancos kuziba pengo la Diego Costa ambaye aliyeomba kuondoka klabuni kwasababu za kibinafsi.

 

Lyon itapokea euro milioni 1.5 na chaguo la ununuzi wa Dembele limewekwa kwa euro 33.5m lakini linaweza kuongezeka hadi euro 38.5m ikiwa motisha kadhaa zitapatikana.

Ikiwa Atletico itafanya mkataba huo kuwa wa kudumu katika majira haya ya joto, kilabu hiyo ya LaLiga Santander itadaiwa na Lyon asilimia kumi ya uuzaji wowote ujao.

Akiwa amekuzwa katika chuo cha Paris Saint-Germain, Dembele alichezea timu zote za vijana wa Ufaransa lakini bado hajachezea Les Blues mchezo hata mmoja.


MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5

Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!

INGIA MCHEZONI

19 Komentara

    Kila la kheri dembele

    Jibu

    Dembele kila la kheri

    Jibu

    Kila la kheri Moussa Dembele

    Jibu

    Kazi kazi

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Akina Dembele wamekuwa wachezaji wazuri kila mahali wanapocheza bila shaka Moussa Dembele atafanya vzr na pengine kununuliwa moja kwa moja

    Jibu

    well

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    All the best

    Jibu

    Dembele atatisha

    Jibu

    Akiwa amekuzwa katika chuo cha Paris Saint-Germain, Dembele alichezea timu zote za vijana wa Ufaransa lakini bado hajachezea Les Blues mchezo hata mmoja

    Jibu

    kila la kheri

    Jibu

    Vizuri kila la kheri

    Jibu

    Kaz kaz kijana

    Jibu

    Kila lakheri kwake

    Jibu

    Atletico wamepata jembe

    Jibu

    Kila lakheri

    Jibu

    hongera yake

    Jibu

Acha ujumbe