Ole Ataja Kilichopelekea Kipigo dhidi ya City.


 

Meneja wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer ametoa sababu baada ya kupoteza hatua ya nusu fainali ya Kombe la Carabao mbele ya Manchester City kwa kufungwa mabao 2-0.

Wachezaji wamecheza vizuri, wamelinda vizuri ila walishindwa kutumia nafasi ambazo wamezitengeneza,”. alisema Ole Gunnar

Tumecheza dhidi ya timu bora ya Manchester City.

Wamecheza vizuri, na wanapocheza vizuri unahitaji kucheza vizuri zaidi uweze kuwafunga, na huo ndio ukweli halisi wa hapa tulipo. Tumepungukiwa kidogo.” aliongeza Ole baada ya mchezo.

 

Mabao ya Manchester City Uwanja wa Old Trafford yalifungwa na John Stones dakika ya 50 na Fernandinho dakika 83.

Ndani ya dakika 90, City ya Pep Guardiola iliweza kutawala mchezo huo kwa asilimia 61 huku United ikiwa na asilimia 39 ndani ya dakika 90.

Pia United ilipiga jumla ya mashuti mawili yaliyolenga lango huku Manchester City ikipiga jumla ya mashuti manne ambayo yalilenga lango.

Ushindi wa Manchester City unaifanya iweze kupenya hatua ya fainali na itakutana na Spurs ya Jose Mourinho.


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

18 Komentara

    Polen man u kwa kichapoπŸ˜ƒ

    Jibu

    United walizidiwa

    Jibu

    Polen sana man u

    Jibu

    Pole tu kwa kichapo

    Jibu

    Poleni sana man u

    Jibu

    Poleni sana man u

    Jibu

    Ole anajitetea timu ishakuwa mbovu

    Jibu

    Man chali amna namna

    Jibu

    City bahati ilikuayao

    Jibu

    Manchester city ilikuwa ni bahati yao
    Na sisi kama mashabiki tumefurahia ushindi ila wajuwe ipo siku yao huu ni mpira

    Jibu

    Ndani ya dakika 90, City ya Pep Guardiola iliweza kutawala mchezo huo kwa asilimia 61 huku United ikiwa na asilimia 39 ndani ya dakika 90.

    Jibu

    Mwanitesa united

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Tatizo maandalizi sio mazur upande wa man u

    Jibu

    Man u yenyewe mashaka matupu

    Jibu

    Poleni sana man u

    Jibu

    Polen sana

    Jibu

    Sijui kwa nini United huwa wanamwogopa sana city

    Jibu

Acha ujumbe