Kocha mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, amesema ana imani kuanzia sasa timu itaanza kufunga mabao mengi kuanzia mchezo wa kesho wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas.

 

pablo, Pablo : Mabao Yapo, Tunaanza na Shirikisho., Meridianbet

 

Pablo amesema kumekuwa na changamoto ya kupata mabao licha ya kutengeneza nafasi nyingi lakini tayari suala hilo limefanyiwa kazi mazoezini na kila kitu kiko sawa.

Akizungumzia mchezo wenyewe Pablo amesema utakuwa mgumu kutokana na ubora wa ASEC pamoja uzoefu wao lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda katika uwanja wa nyumbani.

“Ninaamini tutaanza kupata mabao mengi, tumekuwa tukifanya mazoezi sana kuhusu ufungaji na kila kitu kitakaa sawa kuanzia kesho,” amesema.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa