Tetesi zinasema, Mauricio Pochettino amewashauri Manchester United kumsajili Harry Kane,28, kapteni wa Tottenham. Hata hivyo kocha Pochettino naye anawindwa na United kuwa kocha mpya.

Tetesi zinasema, Real Madrid imemuongeza katika idadi ya itakayowasajili katika dirisha la majira ya joto winga wa kushoto kutoka Arsenal, Kieran Tierney,24.

Wachezaji wa Manchester United wameonyesha kutoridhishwa na mazoezi na mbinu za kocha mpya Ralf Rangnick, wakiamini kuwa zimepitwa na wakati.

 

Rangnick

Tetesi zinasema, Aston Villa na Tottenham ni miongoni mwa klabu zinazowinda saini ya Arturo Vidal,34, kutoka Inter Milan.

Tetesi zinasema, Klabu ya West Ham imeanza mazungumzo na kiungo raia wa Czech Tomas Soucek,26, kwaajili ya kandarasi mpya.

Barcelona wameonesha nia ya kumsajili goli kipa mpya msimu huu, huku mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa mwenye miaka 21 wa Leeds United, Illan Meslier akiwa ni miongoni wa waliopo kwenye orodha yao fupi.

Tetesi zinasema, Huenda Tottenham ikaipiku Barcelona kwenye kuchukua Muivory Coast anayekipiga klabu ya AC Milan, kiungo Franck Kessie,25.

 

Franck Kessie Apewa Ofa ya Mkataba Spurs
Franck Kessie

Kiungo wa zamani wa Uingereza Jack Wilshere,30, ni miongoni wa wanaowindwa na Serie B Como, na hii ni baada ya kiongozi wa michezo wa klabu hiyo kutamka.

Barcelona wameonesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Real Sociedad na Raia wa Sweden Alexander Isak, 22, ambaye pia anawindwa na Arsenal.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa