Golikipa wa timu ya Manchester United David de Gea anaamini kwamba timu hiyo itakuwa imeachiwa laana sababu haelewi kwanini klabu hiyo haijashinda mataji miaka ya hivi karibuni.

Mashetani wekundu hawajashinda taji lolote tangu mwaka 2017 ambapo walitwaa ubingwa wa Europa League wakiwa chini ya Jose Mourinho.

De Gea ambaye yupo na klabu hiyo tangu mwaka 2011 wakati timu hiyo ikinolewa na Sir Alex Ferguson kabla ya miaka miwili baadaye kustaafu, anaendelea kushoonyesheakidole kile ambacho hakiendi sawa huko OT.

“Nadhani kuna mtu ametupa laana au kitu,” De Gea aliiambia El Pais. “Ukweli sijui kinachoendelea, sijui.

“Watu huwa wananiuliza na tunazungumza kama wachezaji wenzangu na tunasema tu ‘hatujui kinachoendelea’.

“Tulipaswa kushindana kwa mataji zaidi, mataji makubwa zaidi, lakini sijui kwa nini timu hii haifanyi vizuri.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa