Mcheza Tenisi, Andy Murray bado anaamini ataendeleza ubora katika michezo yake anapojitayarisha kuelekea Doha katika michuano yake ijayo akiwa na kocha Colin Fleming kando yake.

 

murray, Andy Murray Anahitaji Kocha Kurejea Kwenye Ubora., Meridianbet

Murray alitengana na mkufunzi wake wa muda mrefu Jamie Delgado kabla ya msimu wa 2022 kabla ya kumaliza kipindi chake cha majaribio na Jan de Witt kufuatia kuondolewa Australian Open na Taro Daniels kutoka Japan.

Bingwa huyo mara mbili wa Wimbledon alikuwa akifanya kazi pamoja na kocha wa zamani Dani Vallverdu huko Rotterdam ambapo Murray alitolewa na kijana chipukizi wa Canada, Felix Auger-Aliassime siku ya Alhamisi.

Raia huyo wa Venezuela, ambaye kwa sasa anamfundisha Stan Wawrinka, ataungana na Murray tena Dubai, lakini ni suluhisho la muda mfupi tu kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34.

“Ninajaribu kupata suluhisho la kudumu ili niwe na ubora katika suala la mambo ambayo ninafanyia kazi kwa sababu kuwa na jumbe tofauti kutoka kwa watu wanaofanya kazi nawe kila wiki sio sawa,” Murray alisema.

Andy amerejea tena ndani ya 100 bora baada ya kukosekana kwa miaka minne, anaamini yuko kwenye njia sahihi.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa