Kiungo wa Leicester City Youri Tielemans ameamua kupiga chini mpango wa kuongeza mkataba na klabu ya hiyo ya Premier League.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji iliripotiwa kuwa mawindoni mwa vilabu vikubwa vya Uingereza ambayo ni Manchester City, Manchester United na Arsenal kwa vipindi vilivyyopita vya usajili na mchezaji huyo wa zamani wa Anderletch mkataba wake unaisha 2023.
Leicester City waliwahi kuikata dau la karibu euro milioni 70 ilikumuachia kiungo huyo mwaka 2021 lakini sasa wanaweza kumkosa mchezaji huyo bure kabisa mwaka ujao.
“Nimeambiwa Youri Tielemans hataongeza mkataba wake na Leicester,” mtaalam wa uhamisho Fabrizio Romano alitweet.
“Ofa mpya ya mkataba imekataliwa wa sasa unaisha mwaka 2023.
“Bila shaka, Youri atakuwa mtaalamu, anaangazia na Leicester. Vilabu vingi vya juu vinamtaka Juni.”
Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.