Huenda kile anachokiamini David de Gea “laana” ndicho kinachoisumbua Manchester United hii ni baada ya kulazimishwa sare kwenye uwanja wa nyumbani dhidi ya Southampton siku ya Jumamosi mchezo wa Ligi ya Premia.

Man United Yalazimishwa Sare na Southampton OT

Bada ya dro yao na Burnley katikati ya wiki vijana hao wa Rangnick walikuwa kwenye windo la kupata ushindi lakini ilikuwa ni siku tofauti ila stori ni ileile.

United walianza vizuri kipindi cha kwanza na kufanikiwa kufunga bao kupitia kwa mchezaji Jadon Sancho ambapo alifunga bao lake la kwanza katika uwanja wa Old Trafford baada ya kupata pasi kutoka kwa Rashford lakini kipindi cha pili walifanya makosa ambayo yaliwagharimu na kuruhusu Soton kupata bao la kusawazisha kupitia Che Adams.

Ronaldo kwa mechi ya sita mfululizo alishindwa kuzifakamia nyavu kwa mara ya kwanza baada ya miaka 13 kupita.

Man United sasa wakaa katika nafasi ya tano wakiwa wamejikusanyia jumla ya alama 40 baada ya michezo 24wakiwa nyuma ya West Ham kwa tofauti ya magoli.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa