Polisi Yaingia Mkataba na Vunja Bei.

 

Klabu ya Polisi Tanzania imeingia makubalianano ya mwaka mmoja na kampuni ya Vunja Bei kwa ajili ya kutengeneza jezi zao za msimu huu.

Makamu Mwenyekiti wa Polisi, Robert Munis amesema makubaliano hayo yataongeza tija kwa klabu yao inayohitaji kujitangaza kwenye soka la Tanzania.

“Timu yetu ni taasisi ya Serikali, hivyo lazima tufanye kilicho bora, malengo yetu msimu huu ni kumaliza katika nafasi nne za juu na sio kufanya vizuri tu ndani ya uwanja ila kuwa hadi nje kwa sababu uwezo na nia ya kufanya hivyo tunayo.

“Vunja bei alionyesha ubora wake kwenye jezi za Simba, hivyo Watanzania wasubiri mambo mazuri kutoka kwetu kwa siku chache zijazo.” aliongeza Munis.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.