Kinda wa Tenisi, Emma Raducanu ataongoza kikosi cha Uingereza kama bingwa wa US Open katika droo yake kuu ya Roland Garros leo [Jumatatu].

Bingwa huyo wa US Open anaanza kampeni yake dhidi ya Linda Noskova mwenye umri wa miaka 17 mechi ya tatu kwenye uwanja wa Simonne-Mathieu.

 

raducanu, Raducanu Kuongoza Uingereza French Open., Meridianbet

Noskova ndiye bingwa wa mwaka jana wa French Open wasichana akiwa mmoja ya uzalishaji wa wachezaji bora wanaotoka Jamhuri ya Czech.

Raducanu, 19, ametangaza kuwa yuko sawa, licha ya wasiwasi juu ya tatizo la mgongo na alionekana mwenye utulivu alipokuwa akifanya mazoezi na kocha wa LTA Louis Cayer hapo jana [Jumapili].

Raducanu anatua Paris baada ya kutengana na kocha wake, Torben Beltz mwezi uliopita, na kumwacha akitafuta kocha wa nne katika muda wa mwaka mmoja baada ya kufundishwa na Nigel Sears huko Wimbledon na Andrew Richardson huko Flushing Meadows.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa