Klabu ya Real Madrid wamemkomalia mshambuliaji wa Paris Saint Germain, Kylian Mbappe baada ya klabu yake kukataa dau la mwanzo la £130m.
Madrid wamerudi tena baada ya maneno ya kejeli ya raisi wa PSG kuhusu ofa waliopeleka kwa mshambuliaji wao hatari na kudai klabu hiyo inawajaribu na wanadharau kwa kiwango walichoweka.
Real Madrid wameweka ofa ya pili kumnasa mshambuliaji huyo kiasi cha £170m, wakiwa wameongeza kiasi cha £40 kutoka kwenye ofa ya kwanza.
Kulingangana na ripoti ya Le Parisien, Paris Saint-Germain inataka kiasi cha Pauni 188m / $ 259m kumuachia Kylian Mbappe kuondoka katika klabu hiyo.
Real Madrid wanajaribu kusajili mshambuliaji huyo wa Ufaransa zikiwa zimebaki siku chache kabla ya dirisha la usajili kufungwa lakini miamba hiyo Ligue 1 imegoma kumuachia kwa pesa ndogo.
Unawezaje kuikosa hii! Ndani ya kasino za meridianbet kuna mchezo unaoweza kukupa mkwanja mrefu leo hii, Wild Hot 40 ni njia nyingine ya kukufanya milionea, Chagua namba yako na uvune mkwanja.



Issa
Mbapee nenda kweny mataj
Sarah
Vizuri