Klabu ya Real Madrid imetwaa ubingwa wa 35 la LaLiga baada ya kupata ushindi wa 4-0 nyumbani dhidi ya Espanyol hapo jana ikiwa imesalia michezo 4.

Ushindi huo pia ulimfanya kocha wao wa Italia Carlo Ancelotti kuwa meneja wa kwanza kutwaa mataji katika kila ligi kuu tano za Ulaya – England, Uhispania, Ujerumani, Italia na Ufaransa.

 

real madrid, Real Madrid Watwaa Ubingwa wa 35 La Liga., Meridianbet

Mabao mawili ya Rodrygo yaliifanya Real Madrid kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa mabao 2-0 kabla ya Marco Asensio kuongeza la tatu baada ya dakika 55 na mfungaji bora wa LaLiga, Karim Benzema kumaliza katika dakika ya 81.

Real Madrid ina pointi 81 huku ikiwa imesalia mechi nne. Wako pointi 17 mbele ya Sevilla inayoshika nafasi ya pili na 18 mbele ya Barcelona, ​​ambao wana mchezo mkononi, na walihitaji pointi moja dhidi ya Espanyol ili kutwaa ubingwa huo.

 

real madrid, Real Madrid Watwaa Ubingwa wa 35 La Liga., Meridianbet

Ilikuwa siku ya kuvunja rekodi kwa mlinzi Marcelo, ambaye alishinda taji lake la 24 akiwa na Real na kuvunja rekodi ya Gento kama mchezaji aliyeshinda mataji mengi zaidi katika historia ya miaka 120 ya klabu hiyo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa