Semedo Ametambulishwa Rasmi Wolves

Aliyekuwa beki wa Barcelona – Nelson Semedo, amekamilisha usajili wa kujiunga na Wolves na leo ametambulishwa rasmi.

Kocha wa Wolves – Nuno Espirito Santo, alikuwa sokoni akitafuta mbadala wa Doherty ambaye amejiunga na Totenham msimu huu. Sasa Wolves wamekamilisha usajili huu dau la pauni milioni 37 na kusaini mkataba wa miaka 3.

Semedo ameichezea Barca mechi 124 na pia ameitumikia timu ya Taifa ya Ureno mara 13.

“Mwaka jana walikuwa na msimu mzuri na ni timu nzuri Uingereza na Ulaya kwa ujumla. Nina imani mwaka huu tutaweza kufanya mambo makubwa zaidi.

“Nuno ni kocha mzuri. Amefanya mambo mazuri akiwa hapa Wolves na kwenye timu zingine. Nitajifunza zaidi kutoka kwake.” amesema Semedo wakati akifanya mahojiano na waandishi wa habari.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

41 Komentara

    Pongezi kwa wolves

    Jibu

    Hongera wolves.

    Jibu

    Piga kaz kijana

    Jibu

    Kila lakheri kwa semedo kapige kazi kijana

    Jibu

    Hongera tunatarajia kilicho bora kutoka kwako!!

    Jibu

    Wolves wanazidi kupanga kikosi chao kiwe kwenye ubora

    Jibu

    Pongez nying kwa wolves

    Jibu

    Kila la kheri kwake

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Kazi njema

    Jibu

    Pongezi kwako!!

    Jibu

    Semedo yuko vzur sana

    Jibu

    Pongezi kwako semedo kwa kupata iyo nafasi

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Karibu sana wolves

    Jibu

    Wolves krb sanaaa

    Jibu

    wolves wamepata mchezaji mkali sana

    Jibu

    Pongezi kwa wolves

    Jibu

    Hii ni pongezi kwake

    Jibu

    Wolves wanajinga atalii

    Jibu

    Hatar sana

    Jibu

    Wolves wameula.

    Jibu

    Usajir mzur Kwa wolves

    Jibu

    Kila la kheri kwake

    Jibu

    Wolves wamepata jembe la maana

    Jibu

    Hongera wolves

    Jibu

    Wolves wamepata mchezaji mzuri

    Jibu

    all the best

    Jibu

    piga kazi kijana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kazi kazi kijana

    Jibu

    Wolves wamepata bonge la mchezaji

    Jibu

    Yupo vizuri dogo

    Jibu

    Ukiachilia mbali Ureno kwenyewe timu nyingine barani Ulaya imejaza wareno ni Wolves nadhani Kocha Nuno anafikiria kupitia wao atapata mafanikio na amepata#meridianbettz

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kijana piga basi

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Ukiachilia mbali Ureno kwenyewe timu nyingine barani Ulaya imejaza wareno ni Wolves nadhani Kocha Nuno anafikiria kupitia wao atapata mafanikio na amepat

    Jibu

Acha ujumbe