Simba Day, TP Mazembe Wanogesha Tamasha.

 

Kikosi cha Simba SC jana kimepoteza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya TP Mazembe katika kilele cha Tamasha la Simba Day lililofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

 

Mchezo huo ulianza taratibu huku timu zote zikisomana na kufanya mashambulizi ya kushtukiza huku mpira ukichezwa zaidi katikati ya uwanja.

Dakika ya 29 almanusura Chris Mugalu atupatie bao la kuongoza baada ya shambulizi safi lilofanywa na Bernard Morrison na Rally Bwalya lakini shuti lake lilipaa juu ya lango.

Mazembe walipata bao dakika ya 84 kupitia kwa Baleke Jean kufuatia mlinda mlango Aishi Manula kutoka katika eneo lake.

Baada ya bao hilo la Simba SC liliongeza mashambulizi langoni mwa Mazembe lakini safu yao ya ulinzi ilikuwa imara kuhakikisha inaondoa hatari zote.

Kocha wa Simba SC, Didier Gomes aliwatoa Morrison, Kibu Denis Mugalu, Taddeo Lwanga, Bwalya, Saido Kanoute, Shomari Kapombe na Mohammed Hussein.

Nafasi zikachukuliwa na Pape Ousmane Sakho na Peter Banda, John Bocco, Erasto Nyoni, Medie Kagere, Henock Inonga na Duncan Nyoni.


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.