Son Mchezaji Bora wa Mwaka KFA.


 

Mshambuliaji wa Tottenham na Korea Kusini, Son Heung-Min ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka inayotolewa na KFA (Chama cha mpira wa miguu nchini Korea kusini).

 

Mshambuliaji huyo nahodha wa timu ya taifa ya Korea kusini Son Heung-min amechaguliwa na Chama cha soka nchini Korea (Korea Football Association (KFA) ) kuwa mchezaji bora wa nchi yake kwa mwaka 2020 na kuweka rekodi ya kutwaa tuzo hiyo kwa mara ya Tano.

Son amekuwa na msimu mzuri pia katika klabu yake ya Tottenham inayoshiriki ligi ya Epl, akiwa amecheza mechi 12 na kufunga magoli 10 na kutengeneza nafasi 4 za magoli.

 


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

20 Komentara

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera san son

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Ongera yake

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera yke

    Jibu

    Hongera zake

    Jibu

    Hongera yake son

    Jibu

    Congrats to u Son

    Jibu

    Son amekua kwenye kiwango bora msimu huu

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Pongezi kwake anastahl

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Pongezi zake Sana anajua mcorea huyo

    Jibu

    Son ni habari nyingine anajituma sana kulitafuta gori uwanjani

    Jibu

    Pongezi sana

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hongera yake Son

    Jibu

Acha ujumbe