Tarimba : Nimeogopa Kuingia Kwenye Siasa za Uchaguzi.

 

Mbunge wa kinondoni, Tarimba Abbas baada ya kushindwa kurejesha fomu ya kugombea urais wa TFF amesema kuwa ameshindwa kurejesha fomu kwa kuogopa kujiingiza kwenye fitina za uchaguzi wa TFF.

 

Tarimba amelalamika kuwa kuna fitina nyingi kwenye uchaguzi wa TFF huku akidai kuwa kuna wagombea walichukua fomu ikiwa muda sahihi wa kuchukua fomu za kuwania nafasi za uongozi ndani ya TFF ulikuwa bado.

Mkurugenzi huyo wa Kampuni ya SportPesa Tanzania amesema amehofia huenda ikaleta shida kwani yeye ni mojawapo wa viongozi wa klabu ya Yanga na ameongeza kuwa hata viongozi walipo kwa sasa ndani ya TFF ni wapenzi wa Simba.

Pamoja na madai hayo mojawapo ya kanuni za Uchaguzi za FIFA/CAF zinadai kuwa mtu/kiongozi anayejihusisha na masuala ya Betting harusiwi kugombea nafasi ya uongozi wa mpira wa miguu kwenye chama/shirikisho.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

3 Komentara

    Bongo kila kitu siasa

    Jibu

    Na yeye aache tamaa

    Jibu

    Kaz kwel kwel

    Jibu

Acha ujumbe