Chelsea Kumpambania Achraf Hakimi.

Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa, Chelsea wanapambania kuipata saini ya beki wa Inter Milan – Achraf Hakimi.

Licha ya PSG kumwaga mpunga mrefu wa takribani pauni milioni 56.5, inaripotiwa kuwa The Blues wametoa ofa kama ya PSG katika kuhakikisha wanakwenda sambamba na mpinzani wao.

Huenda Inter Milan wakavutiwa zaidi kufanya biashara na Chelsea hii ni kwa sababu Inter wanawanyatia wachezaji wawili wa The Blues – Emerson Palmieri na Andreas Christensen. Hata hivyo, hakuna mchezaji yeyote kati ya hawa ambao The Blues itawatoa kwa mkopo. Inter watapaswa kuwasajili kwa mkataba wa moja kwa moja.

Hakimi atatua Stamford Bridge au ataenda zake Paris? Usajili unanoga!


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

4 Komentara

    Ni wakati wa Achraf Hakimi kulamba deal nono

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Itakuwa bonge la mchongo kwake

    Jibu

Acha ujumbe