Tetesi zinasema kocha mpya wa Barcelona Ronald Koeman anataka kumleta kiungo wa kati wa Liverpool na Uholanzi Georginio Wijnaldum, 29, Nou Camp.
Beki wa kati wa Lille na Brazil Gabriel Magalhaes, 22, amechelewa kufanya maamuzi ya mwisho ya kuelekea Arsenal baada ya Manchester United kuonekana kuwa na uwezekano wa kutoa kitita fulani kwa ajili yake.
Manchester United imeonesha kupotezea juu ya mpango wake wa makubaliano ya mkopo kwa winga wa Juventus na Mbrazil Douglas Costa, 29, na badala yake inafikiria kumsajili winga wa Bournemouth na Wales David Brooks, 23.

Tetesi zinasema United imearifiwa kwamba ni lazima ilipe Bournemouth pauni milioni 40 kumsajili Brooks.
Paris St-Germain inamnyatia beki wa Manchester United na Ureno Diogo Dalot, 21.
Beki wa kati wa Manchester United Chris Smalling, 30, anafuatilia kwa karibu makubaliano ya mkopo na Roma baada ya msimu uliopita kuwa Serie A.
Mazungumzo mapya ya mkataba kati ya United mlinda lango Mwingereza Dean Henderson, 23, yako katika hatua za mwisho. Makubaliano yao yanasemekana kuwa na thamani ya zaidi ya pauni 100,000 kwa wiki.

Liverpool inafikiria kumsajili kiungo wa kati wa Bayern Munich Thiago Alcantara huku mchezaji huyo wa Uhispania, 29, akipatikana kwa pauni milioni 30.
Tetesi zinasema mshambuliaji wa Watford Troy Deeney, 32, anataka kusalia Hornets, licha ya kushushwa daraja.
Tottenham inapanga kumsajili Ainsley Maitland-Niles, 22, wa Arsenal ambaye msimu uliopita alicheza kama mlinzi na kiungo wa kati kwa timu ya Arsenal.
Tetesi zinasema Brighton haitakubali ofa ya tatu ya Leeds kwa mlinzi Ben White, 22, na kusisitiza kwamba mchezaji huyo hauzwi.

Aston Villa iko tayari kutoa ofa ya pauni milioni 18 kwa mshambuliaji Mwingereza wa Brentford Ollie Watkins, 24, lakini upande wa mchezaji huyo unasemekana kushikilia kutaka pauni milioni 25.
Real Betis inafanya mazungumzo na Brighton kuhusu uhamisho wa beki wa kulia wa Uhispania Martin Montoya, 29.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


warda
Atakua amefanya poa sana huyu kiungo wa Liverpool yuko poa#Meridianbettz
Ernest
Noana kocha wa Barca Koeman ameanza mbwembwe zake, Wijnaldum, ndani ya Barca soon tunaambiwa Pogba
Ester jackson
Good news
Caroline
Ha ha ha atariii
Nasra
Nomaa
Mwajumah
Atakua amefanya poa sana uyu kiungo wa liverpool#Meridianbettz
rama
Maoni:asante meridian kwa taarifa mbalimbali
Dorophina
Georginio ni vizuri akienda barca liver watakuwa wamepata mchezaji mzuri
felister
Gabriel lazima ataenda arsenal
Shan
Habar njema
Zeiyana
Tumeona kazi yake thiago alcantara toka alivyo kua arsenal ni mchezaji hanaye jituma sana hitakua vizuri kama Liverpool wataipata saini yake
Adelta
Habari njema
@meridianbettz
Khadija
Habari njema#meridianbettz
Latifa juma mohamed
Gud news na meridian bet.
Mwanahamisi
Habari njema
Magdalena
mambo yanazidi kupamba moto
JULIANA
Asante kwakunijuza habari motomoto
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri
Tatu
Coach wa Barcelona ameaza kufanya maajabu yake kwa kuimalisha kikosi
Asia Abdy
Nice
Janeflora malisa
Good
Sabrina
Gabriel afanye maamuzi Bhana Arsenal wanamuitaji naona man u washaanza fitina
Sadick
Kocha Koeman analenga kuunda kikosi cha Barcelona kwa kuweka Waholanzi wengi zaidi#meridianbettz
Hope mwaikuka
🙌
Sylvester
Georginio Wijnaldum ni mchezaji mzuri na kwa sababu kocha anaehitaji kandarasi yake ni kocha anaemfahamu wakiwa wote timu ya taifa nina imani atafanya vizuri Barcelona
Samiah
Gud news
Furahav
Noma sana.
Gabriel
Usajili utaenda vizur sana 👍
Issa
United inafeli mchukuen sancho mboreshe safu ya ushambuliaji
Devotha
Good newz
Shafii
Tetesi ziko poa Sana.
Omary lukumbi
Nice united
Sauda
Kocha wa Barcelona ameimarisha kikosi
aisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 duuh noma sana
David Pere
Kocha Koeman analenga kuunda kikosi cha Barcelona kwa kuweka Waholanzi wengi zaidi
farida ahmadi
Itakuwa vizuri Sana