Yanga Kuitangaza Kilimanjaro na Zanzibar.

 

Klabu ya Yanga SC imeingia makubaliano na serikali kutangaza utalii wa Tanzania baada ya kuzindua kampeni ya kutangaza Mlima Kilimanjaro na Visiwa vya Zanzibar.

 

Kampeni hiyo imezinduliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Damas Ndumbaro jijini Dar es Salaam ambapo Yanga itavaa jezi zenye logo ya VisitKilimanajro and Zanzibar katika mechi didi ya Rivers United nchini Nigeria, Jumapili.

Akizungumza katika mkutano na Wanahabari, Waziri wa Maliasili na Utalii, Damas Ndumbaro amewashukuru viongozi wa Yanga kujitoa bila malipo kutangaza vivutio vya nchi na kwamba Yanga wamevunja rekodi kwa kuunga mkono jitihada za Rais vitendo.

Amesema Yanga inakuwa klabu pekee nchini kuunga kwa vitendo juhudi za Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kutangaza utalii wa nchi, katika kampeni yake ya hivi karibuni.

“Hili sio wazo letu, limetoka kwenu, lakini wambie mmeandika rekodi. Imekuwa klabu ya kwanza, taasisi ya kwanza kuunga juhudi kwa vitendo ile Royal Tour, lakini pia mnakuwa klabu ya kwanza kukubali kuitangaza Kilimanjaro na Zanzibar bila malipo.

“Kwa sisi mtu kama huyu hauna cha kumlipa zaidi ya kumuombea aendelee. Nami naamini mnakwenda kupindua meza Nigeria,” amesema Ndumbaro.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.