Yanga Yaongoza Mapato Msimu 2020/21.

 

Kabu ya Yanga SC imewapiku watani wake Simba SC kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani katika msimu wa 2020/21 na kupelekea kuingiza mapato mengi zaidi.

Taarifa kutoka Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara (TPLB) leo imetaja Klabu za soka zilizopata mapato mengi kupitia viingilio vya mlangoni kwa msimu mzima wa 2020/2021.

1- Yanga SC Tsh millioni 986.8
2- Simba SC Tsh milioni 929.7
3- JKT Tanzania Tsh milioni 148.1
4- Dodoma jiji Tsh milioni 139.3
5- Ihefu FC Tsh milioni 138.6.

 

 


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.