Kaze: Hatuna Rekodi Nzuri na Mbeya City.

KOCHA Msaidizi wa Mabingwa mara zote wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara 28, Cedric Kaze ameuzungumzia mchezo wao unaofuata dhidi ya Mbeya City, ambao unatarajiwa kuchezwa kesho Novemba 26/2022 kwenye dimba la Benjamini Mkapa.

 

kaze

Akizungumza na waandishi wa habari za michezo, leo Jijini Dar Es Slaam Kaze alisema kuwa wamejiandaa vizuri kwa kuzingatia hawana rekodi nzuri sana wanapokutana na Mbeya City ya jijini Mbeya.

“Tumejiandaa vizuri kwa sababu tunajua Mbeya City mechi zao za karibuni wamefanya vizuri. Hatuna rekodi nzuri nao mchezo uliopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Ni timu ambayo imekuwa ikitupa changamoto ambayo tumejiandaa kuikabili”-Kaze

 

kaze

Yanga SC wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi wakiwa na alama 29 wakiwa na michezo miwili mkononi, Majira ya Saa12:15 washuka uwanjani. Nani kuondoka na alama tatu Beti kwenye Meridianbet Beti hapa.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

yanga

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.