Kaze: Hatuchezi kwa Sababu ya Unbeaten

Cedric Kaze ambaye ni Kocha msaidizi wa Yanga na Mkurugenzi wa Ufundi na timu ya vijana ya klabu hiyo, amefafanua suala la ‘Unbeaten’ ambalo limekuwa likizungumzwa sana kwenye mitandao ya kijamii.

 

kaze

Kaze amesema kuwa Unbeaten ni matokeo tu ya mchezo na Yanga hawachezi kwa sababu ya hiyo.

“Ni kweli tuna takwimu nzuri ambayo ni heshima kwa Klabu. Lakini hatuchezi kwa sababu ya rekodi ya unbeaten, tunacheza kushinda ili tufikie malengo yetu. Kwenye mafanikio yetu hatuna malengo ya unbeaten, tuna malengo ya kutwaa mataji yaliyopo mbele yetu. Unbeaten ni matokeo sio mafanikio. Sisi tunataka mafanikio”

kaze

Kauli hii ya Kocha Cedric Kaze imekuja kutokana na klabu yake anayoifundisha kuwa na rekodi hiyo ya kutopoteza mechi yeyote kwa michezo 47 mpaka sasa, ikiwa chini ya Kocha Mkuu Nasraddine Nabi ambaye alitambulishwa klabuni hapo April 2021.

Yanga wanakabiliwa na mchezo mwingine mbele yao, dhidi ya Mbeya City ukiwa unatarajiwa kupigwa majira ya saa 12:15 jioni. Je unadhani Mbeya City wataharibu rekodi ya Unbeaten ya Yanga? Beti na kitochi Meridianbet mechi hii ina ODDS kubwa.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.