Klabu ya soka ya Yanga imeendeleza ubabe wake kwenye ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC baada ya kuichapa klabu ya Dodoma Jiji katika mchezo uliopigwa mkoani Singida katika dimba la Liti.

Klabu ya Yanga ikiwa kwenye kiwango bora kabisa ilifanikiwa kuiadhibu klabu ya Dodoma Jiji baada ya magoli mawili dhidi ya mshambuliaji matatu wa klabu hiyo Fiston Mayele katika dakika ya 42,67 na kuweza kuhakikisha alama tatu muhimu tatu zinaelekea Jangwani.yangaBaada ya ushindi huo klabu ya Yanga imefanikiwa kurudi kileleni kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC baada ya kufikisha alama 29 huku wakiwashusha Azam Fc mbao nao wana alama 29 lakini wakizidiwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.

Klabu ya wananchi leo wameendeleza rekodi ya ya kutopoteza mchezo baada ya kushinda mchezo wa leo na sasa rasmi wanakua wamefikisha michezo 48 ya ligi kuu bila kufungwa. Kutokana na hali hii inaonesha namna klabu ya Yanga wako kwenye ubora wa hali ya juu kwasasa.yangaMshambuliaji Fiston Mayele baada ya kufunga mabao mawili siku ya leo sasa ni wazi anaongoza kwenye vita kugombania kiatu baada ya kufikisha magoli 8 na kumwacha Sixtus Sabilo kutoka Mbeya City mwenye mabao 7 pamoja Moses Phiri mwenye mabao 6 kutoka klabu ya Simba.

machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa