Kocha wa klabu ya Manchester City raia wa Hispania Pep Guardiola inaelezwa yupo kwenye hatua za mwisho ili kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu ya Manchester City.

Kocha huyo ambaye amedumu klabuni hapo kwa miaka sita sasa tangu mwaka 2017 mwezi Juni anakaribia kusaini mkataba mpya klabuni hapo utakaomweka mpaka mwaka 2025, Huku akiendelea kua miongoni mwa makocha wanaolipwa vizuri zaidi duniani.guardiolaGuardiola ambaye amewahi kuifundisha klabu ya Barcelona kwa mafanikio makubwa amefanikiwa kuifanya klabu ya Manchester City kua klabu bora na tishio kabisa nchini Uingereza pamoja na ulaya kwa ujumla wake tangu amejiunga klabuni hapo.

Kocha huyo mpaka sasa amefanikiwa kubeba mataji manne ya ligi kuu ya Uingereza kwa misimu sita ambayo amehudumu klabuni na hii kimahesababu ni kua hajabeba ubingwa wa ligi hiyo mara mbili tu tang amejiunga kwenye timu. Na hii imeletwa na ubora ambao kocha huyo ameutengeneza kwenye klabu ya Manchester City.guardiolaPep Guardiola amebakiza taji moja tu ndani ya klabu ya Manchester City ili aendelee kubaki kama kocha wa kukumbukwa zaidi klabuni hapo ambalo ni taji la ligi ya mabingwa ulaya ambalo aliingia fainali mwaka 2021 dhidi ya Chelsea na kushindwa kulinyakua.

guardiola, Guardiola Mbioni Kuongeza Mkataba City, Meridianbet

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa