Yanga SC imesafiri Hadi Mkoani Singida kucheza na Dodoma Jiji| Endapo Yanga atashida Mchezo huo atakuwa anaikaribbia rekodi kama ya Arsenal| Mwaka 2003 May 7, The Gunners walicheza Mechi 49 Bila kupoteza mpaka Oktoba 16, 2004.

 

yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA SC imefika mkoani Dodoma mapema hii leo, kabla ya kuelekea Mkoani Singida kuzitafuta alama tatu kwenye uwanja wa Liti, watakapokuwa na kibarua kingine dhidi ya walima Zabibu, Dodoma Jiji FC. Mchezo huo utachezwa Jumanne Novemba 22/2022.

Young Africans ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi, baada ya kushushwa na watani zao Simba SC jana kwa utofauti wa alama moja, ambayo Simba wana alama 27 na Yanga anazo 26 na michezo michache zaidi ya Simba.

 

yanga

Kabla ya Wananchi kusafiri walicheza kwanza mchezo wa kirafiki na timu ya Vijana ya Klabu hiyo, na kuibuka na ushindi wa bao 3-2. Hiyo ilikuwa ni maandalizi ya kujiweka sawa kwa mchezo huo ambao Yanga atahitaji kushinda ili arudi kileleni mwa Ligi na kuendeleza rekodi yake ya kutopoteza kwenye michezo 47 na hivyo kuikaribia ile rekodi iliyowekwa na Arsenal ya mechi 49 bila kupoteza mwaka 2003-2004.


Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

machaguo spesho

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa