Simba imesajili Jean Othos Baleke | Msimu wa 2020/21 alikuwa mfungaji bora wa Ligi ya DR Congo | alifunga mabao 14, akimzidi Mayele bao 1. Rekodi za Mayele vs Baleke hazitofautiani sana. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet, Bashiri na Mabingwa.
Ilee shoo ya Baleke na Mayele waliyokuwa wakiipata wakongo ni rasmi sasa imehamia Bongo kwenye ardhi ya Rais Samia Suluhu Hassan, mitaa ya Kariakoo imepambwa kwa majina mawili mazuri yenye historia kubwa ya soka. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.
Mitaa ya Jangwani inapambwa na Fiston Kalala Mayele aliyetangulia kuja Bongo lakini alifikia kwa wananchii wakampokea na kwa kuheshimu mapokezi yao akawapa burudani ya furaha na kisha akatetema.

Hatimaye tena ule uhasama na ushindani wao kwenye ardhi ya kwao DR Congo utaendelea kwenye dimba la Benjamin Mkapa haswa kwenye Kariakoo Dabi. Muite Jean Baleke alifanya makubwa akiwa na TP Englabaa Mazembe, The Ravens ama Kunguru weupe na sasa shoo ataihamishia Mitaa ya Msimbazi kwa wazee walunyasi Simba SC. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Enzi hizo wakiwa wanacheza Ligi ya nchini Congo walikuwa wanafukuzana kwa ufungaji mmoja akimaliza na magoli 14 basi mwingine atakuwa nyuma na mabao 13 simu wa 2020/21 Baleke alikuwa mfungaji bora akimzidi Mayele bao moja.
The Good melody music heard in Congo, is now in Tanzania, Lets sing together, dance and enjoy this football.
Asanteni Yanga kutuletea Mayele asanteni Simba Kutuletea Jean Baleke ni muda wa kufurahi utamu wa mpira, unaambiwa ukitetema wenzako huko wanacharaza bakora. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

