Azam Anamleta Chamazi Tanzania Prisons

Mechi nyingine ni kati ya Azam FC dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa Chamazi FC majira ya 2:30 usiku.

 

Azam Anamleta Chamazi Tanzania Prisons

Azam FC ametoka kushinda mechi yake iliyopita kwa ushindi mkubwa sana huku kwa upande wa Prisons wao wametoka kupoteza mechi iliyopita kwa mabao mengi sana wakiwa ugenini baada ya kadi nyekundu.

Vijana wa Kally Ongala wapo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi baada ya kucheza mechi 19, baada ya kushinda mechi zao 12, wakitoa sare nne, na kupoteza michezo mitatu pekee, alama zao 40.

Azam Anamleta Chamazi Tanzania Prisons

Wakati Wajelajela wao wapo nafasi ya 11 wakishinda mechi 5 baada ya mechi 19, wakienda sare mara 6 na kupoteza michezo nane hadi sasa, na kujikusanyia pointi 21 kibindoni.

Mechi mbili za mwisho kukutana hizi timu mbili, kila moja ilishinda nyumbani kwake kwa bao moja. Leo aliyepo nyumbani anaweza kushinda?

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.