Baada ya mchezo wa Yanga SC dhidi ya Ihefu kutamatika, huku Yanga ikichomoza na ushindi wa 1-0, goli likifungwa na mshambuliaji wa kinara wa mabao kwa sasa Fiston Mayele. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

Kumezuka mjadala mkubwa juu ya baadhi ya wachezaji wanaoonekana muhimu kukosekana kwenye kikosi Kwa ruhusa maalumu.
Wakati mjadala huu ukiendelea majibu kutoka Kwa baadhi ya watu wa timu ya Yanga yamezidi kuweka wasiwasi juu ya baadhi ya hao wachezaji hasa Bernard Morrison. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.
Kocha Mkuu wa Yanga Nasredeen Nabi alisema kuwa “Mashabiki lazima wajue, Mimi sitamuogopa mchezaji Yeyote ambaye hatoheshimu Sheria zangu na kuiheshimu Yanga”
Nabi aliongeza kuwa hakuna mchezaji mkubwa kuzidi klabu na akimtolea mfano Mayele licha ya ubora wake amekuwa akiwahi Mazoezi na kufuata taratibu zote za Klabu.

Mbali na Nabi alipoulizwa Afisa habari wa klabu ya Yanga SC Ali Kamwe alipata kigugumizi kulizungumza suala la Morrison huku akisema kuwa ni suala la kimkataba na kiofisi. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.
“Siwezi kuingilia suala la kimkataba, Kuna “issues” za kiofisi ambazo zinashughulikiwa, taarifa itatoka ofisi ya mtendaji mkuu, hivyo klabu itatoa ‘statement’ Rasmi” alisema Alikamwe.
Morrison amekuwa Nje ya klabu Kwa muda huku akionekana kufanya mambo ya kijamii nyumbani kwao Ghana. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.
Ikumbukwe Morrison alirejea Yanga akitokea Simba Mwishoni mwa Msimu uliomalizika Baada ya Simba kumsimamisha Kwa sababu zisizoanishwa Kwa wakati huo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

