Mandonga Amkataa Kaoneka Hadharani, 'Simjui Kaoneka'

BONDIA mwenye nyota yake hapa mjini kwa sasa Karim Mandonga mtu kazi mwenye majina mengi ya ngumi zake, akiwa na ngumi mpya kwa sasa anaiita ‘More Strong Kanitangaze’ Baada ya ile Ngumi Sugunyo kumkalisha Wanyonyi huko Kenya kwa TKO. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

Mandonga

Sasa Mandonga ametoka hadharani na kusema hamjui Shabani Kaoneka wala hajawahi kupigana na mtu anaitwa Shabani Kaoneka kwa mujibu wa Rickmediatz. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

“Shabani Kaoneka ndio nani, Simjui sijawahi kupigana na mtu anaitwa Shabani Kaoneka. Leo dada (Mwandishi) ndio unaniambia kuhusu Shabani Kaoneka lakini mimi Karim Mandonga sijawahi kulisikia”-Bondia Karim Mandonga.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Infotainment Chamber (@rickmediatz)


Aliendelea kukataa kata kata kwamba hamjui mpinzani wake Shabani Kaoneka ambaye alimpiga mwaka jana Julai 30, 2022. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

“Kaoneka mie simfahamu ila leo ndio unaniambia wewe, mimi kuna bondia fulani anaishi Gongolamboto mdogo wangu alinipga Morogoro kwa KO raundi ya kwanza, dakika ya kwanza, sekunde ya pili anaitwa Magambo Christopher”

 

kaoneka

Kwa sasa Mandonga unaweza kusema anaishi maisha mazuri kutokana na kufanya kazi na makampuni mengi ambayo yanampa dili za ubalozi na kuthibitisha hilo wiki hii pekee amekabidhiwa gari ya pili aina ya Subaru ikiwa ni gari ya kutembelea iliyoanzisha Jina la ngumi mpya aina ya ‘More Strong Kanitangaze‘. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.