Karim Mandonga Mtu kazi atamba kenya | Ameshinda kwa TKO raundi ya 5 | Daniel Wanyonyi Akalishwa nyumbani kwao | Ngumi Sugunyo kuotka Ukraine kwenye Mabomu. Odds kubwa unazipa Meridianbet.
Katika pambano lililokuwa likisubiriwa kwa hamu, bondia Mtanzania Karim Mandonga alitupa ngumu kali ya kiufundi kwenye raundi ya tano kwa mpinzani wake, Wanyonyi, mbele ya umati wa mashabiki uliofika kushuhudia pambano hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC).
Mechi hiyo, ambayo ilidaiwa kuwa ni ya utangulizi ilisogezwa mbele na hatimaye ikafika zamu ya pambano hilo ambalo mandoga aliingia uwanjani kama kawaida yake kwa mbwembwe na madoido. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.
Wanyonyi, aliyejulikana kwa ngumi za nguvu na ukali, alianza kwa mwendo wa taratibu, na kasi ya hali ya juu ya Mandonga na kutotulia kulimruhusu kumtawala mwanzo hadi mwisho.
Pambano lilipokuwa likiendelea, Mandonga alipata ushindi mkubwa, akishosha ngumi sugunyo kadhaa safi kwenye kichwa na mwili wa Wanyonyi. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Tangu kuanza kwa pambano hilo, ilionekana wazi kuwa Mandonga ndiye aliyekuwa na nguvu kubwa, akitua ngumi nzito na kuonyesha ufundi wa hali ya juu.
Wanyonyi, licha ya kufanya juhudi kubwa, hakuweza kustahimili mashambulizi hayo na akatolewa katika raundi ya tano.
Hata hivyo katika raundi ya tano, Mandonga alimpiga ngumi mbaya mpinzani wake ambaye alikataa kurejea kwa raundi ya sita, na hivyo kumpa Karim ushindi. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.
Ushindi huo ulikuwa mkubwa kwa Karim, ambaye aliimarisha nafasi yake kama mmoja wa wapiganaji wakuu na kujitengenezea rekodi yake binafsi kwa mapambano yajayo.
Katika mahojiano yake baada ya pambano hilo, Mandonga alidai kuwa mchezo wa ndondi inahitaji mtu uwe na maneno mengi na kwamba atarejea Aprili kwa ajili ya pambano lingine. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.
“Mdomo ni wa kupigia promo, nikiingia ulingo kuna nafasi ya ngumi,” Alisema Mandonga
“Narudi tena Nairobi- Kenya hii Aprili ‘kumzika mtu’, raundi ya kwanza kaburi lake liko wapi? Muwekeni pale! Nitakuja na ngumi nyingine, sio Sugunyo tena,” aliongeza.


