Didier Drogba Ampasua Bosi wa Chelsea

Dogba Chelsea

Gwiji wa Chelsea Didier Drogba amewashutumu wamiliki wa sasa wa klabu hiyo kwa kukosa daraja na kusisitiza kuwa ‘haitambui’ Chelsea tena. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Real Madrid ilimaliza msimu wa Chelsea kwa kuwatupa nje ya Ligi ya Mabingwa kwa ushindi wa 2-0 (agg 4-0) Uwanja wa Stamford Bridge Jumanne usiku.

Mmiliki mwenza Todd Boehly ametumia paundi milioni 600 tangu achukue nafasi hiyo Mei 2022 lakini utawala wake umekuwa wa majanga hadi sasa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

“Niliijua klabu hii ikiwa na daraja fulani enzi za Abramovich, lakini leo naiona haipo. Ni ngumu sana kwangu kuona jinsi walivyowaondoa watu fulani,” alisema Drogba.

“Wanapaswa kurudi kwenye kanuni na maadili waliyokuwa nayo.

“Siitambui klabu yangu. Sio klabu moja tena, kuna mmiliki mpya na maono mapya.

“Ni kweli tunajaribu kulinganisha na kile kilichotokea wakati wa (Roman) Abramovich ambapo wachezaji wengi waliletwa, lakini maamuzi yalikuwa ya akili sana.

“Kuleta wachezaji kama Petr Cech, Andriy Shevchenko, Hernan Crespo, Micheal Essien, Florent Malouda, na mimi Ilifanyika ili kushinda mataji.

“Ni wachezaji wenye uzoefu fulani lakini mkakati sasa ni tofauti, tunaweka dau kwa wachezaji wachanga. Lakini chumba cha kubadilishia cha wachezaji zaidi ya 30 ni vigumu [kusimamia] kwa meneja.

“Wanakosa viongozi wenye mvuto. Unahitaji wachezaji wanaocheza mchezo, wanaochukua majukumu yao. Unahitaji mchezaji ambaye analeta wazimu kidogo kwenye uwanja.”

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.