Aubameyang:Drogba Aguswa na Usajili Huo.

Aubameyang amkosha Didier Drogba kutokana na uamuzi wake wa kuamua kuondoka FC Barcelona na kujiunga Chelsea.

Drogba Atuma Ujumbe Chelsea.

Nahodha huyo wa zamani wa Arsenal, aliachwa na Barcelona miezi sita tu baada ya kuondoka Arsenal kutokana na hali mbaya ya kutofautiana kwake na Mikel Arteta.

Kuwasili kwa Robert Lewandowski, pamoja na hali mbaya ya kifedha ya Barcelona, ​​ilimlazimu mchezaji huyo kutopewa nafasi na hivyo uhamisho wake wa Chelsea uliotarajiwa ulikamilika siku ya mwisho.

Aubameyang: Drogba Atuma Ujumbe Chelsea.

Nyota huyo ataungana tena na kocha wake wa zamani wa Borussia Dortmund Thomas Tuchel, ambaye hitaji lake la mshambuliaji mpya wa kati limechagizwa na vipigo vya hivi karibuni dhidi ya Leeds na Southampton.

Aubameyang: Drogba Atuma Ujumbe Chelsea.

Drogba Aliandika kwenye Twitter: “Hatimaye!!!!! Kumbuka wakati tulizungumza kuhusu hili miaka iliyopita Nimefurahi.”

Aubameyang: Drogba Atuma Ujumbe Chelsea.

Staa huyo huenda akaingia moja kwa moja kwenye kikosi cha Chelsea, kabla ya mchezo wa Jumamosi dhidi ya West Ham Uwanja wa Stamford Bridge na mchezaji huyo wa kimataifa wa Gabon anatazamiwa kucheza.

Drogba Atuma Ujumbe Chelsea.

 

Aubameyang Alisema: ‘Nina furaha sana.

“Ni heshima kuwa sehemu ya timu hii na siwezi kusubiri kuanza. Nina jukumu ambalo halijakamilika kwenye Ligi Kuu kwa hivyo ni vizuri kurejea tena.”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.