KOCHA Mkuu wa Namungo FC Dennis Kitambi amesema kuwa wanaimani kubwa ya kupata matokeo mazuri kwenye mchezo ujao wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Timu ya Namungo mchezo wake uliopita ilishinda mbele ya Azam FC kwa mabao 2-1 mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.
Inatarajiwa kucheza na Dodoma Jiji, Juni 6 Uwanja wa Majaliwa ikiwa ni mzunguko wa pili. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
“Tulipata matokeo mazuri mchezo uliopita ugenini hapo tunakwenda kufanya maandalizi kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Dodoma Jiji ambao hautakuwa mwepesi.
“Kikubwa ni kufanyia kazi makosa kwenye mechi zetu zote kwani licha ya kupata ushindi bado kuna makosa ambayo yamekuwa yakifanyika kwa wachezaji hilo tutalifanyia kazi,”
Namungo imefikisha pointi 39 ikiwa nafasi ya tano kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 28. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.


