Djuma Shabani Aibukia Azam

Aliyekua beki wa klabu ya Yanga raia wa kimataifa wa Congo Djuma Shabani ametimkia klabu ya Azam ya jijini Dar-Es-Salaam kwa mujibu wa taarifa mbalimbali.

Beki Djuma Shabani ameonekana kwenye viunga vya Azam akiwa anafanya mazoezi na klabu hiyo, Huku vyanzo mbalimbali vikithibitisha beki huyo amejiunga na waoka mikate hao.djuma shabaniBeki huyo aliingia kwenye mgogoro kidogo na klabu yake ya zamani ya Yanga baada ya kuomba kuondoka klabuni hapo, Huku klabu yake ikelezwa kumcheleweshea barua ya kumuachia aondoke ndani ya timu hiyo.

Wiki kadhaa nyuma klabu ya Yanga ilifanikiwa kutoa barua ya kumruhusu mchezaji huyo kuondoka klabuni hapo kama ambavyo aliomba, Baada ya mchezaji huyo kuondoka Yanga inaelezwa matajiri wa Dar-es-salaam wamepita nae na kumsajili.djuma shabaniBeki Djuma Shabani anakua mchezaji wa tatu kujiunga na Azam akitokea Yanga hivi karibuni kwani alianza Feisal Salum akafata Yanick Bangala Litombo na sasa amefata beki huyo raia wa kimataifa wa Congo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.